Siku ya jana katika Kanisa la Living Water Center chini ya Mtumishi wa Mungu Apostle Onesmo Ndegi ilikua ibada ya kusifu na kuabudu huwa inafanyika kila baada ya miezi kadhaa ikijulikana kwa jina la Live Gospel Shangwe kwa kuandaliwa na wenyeji wa kanisa hilo The Living Waters.
Katika Ibada hiyo vikundi mbalimabli vya sifa vilivyo hudumu ni Living Waters wenyeji,Paul Clement,John Lisu,The Doxas, Misei na KLPT Kigamboni PWT na kufanyika ya baraka kwa maisha ya wengi walihudhulia ibada hiyo,na MC wa event hiyo akiwa na King Chavalah.

Living Waters |
Living Water |
cheza mpaka chini |
drama |
GUG Dancers |
GUG Dancers |
KLPT Kigamboni |
KLPT Kigamboni |
Mise akiwa na Mke wake |
Mise Saxophonist |
saxophonist |
Bariki |
Dickson Griper |
Watoto walipata nafasi ya kufurahi mbele ya Bwana wakiwa na MC Chavala |
Watoto walipata nafasi ya kufurahi mbele ya Bwana wakiwa na MC Chavala |
Doxas Praise and Worship Team ya Word Alive Centre Pastor Deo Lubala |
Doxas Praise and Worship Team ya Word Alive Centre Pastor Deo Lubala |
Jesca Honore akiongoza Doxas Praise and Worship Team |
La masias. ephraim kahuluda |
Apostle Ndegi wa kiongozi wa huduma ya Living Water Centre akizungumza kwa kifupi katika event hiyo ya Live Gospel Shangwe |
Paul Clement |
Masanja Mkandamizaji alikuwepo bila kukosa akiwa na MC wa Event Chavalah |
Masanja Mkandamizaji akiteta jambo na Apostle Ndegi |
MC wa Event Chavalah |
John Lisu |
Kinogo Emmanuel mmoja wa waimbaji wa Living Waters akiongea kwa ufupi kuhusu Living Waters ilitoka wapi na inakwenda wapi |
Apostle Ndegi Masanja Mkandamizaji na Chavala katika picha ya pamoja |
No comments:
Post a Comment