.

.

.

.

Thursday

Prophetic School Yaanza Jijini Dar es salaam.


Bishop.Dr.Bernad Nwaka Kutoka Zambia 
Kamati ya maandalizi ya Shule ya Kinabii Tanzania inawakaribisha watu wote kwenye shule ya Kinabii itakayofanyika Tarehe 11-16/02/2014 Mahali ni Kanisa la Mlima wa Bwana “Restoration Bible Church” Jangwani Kariakoo Jijini Dar es salaam. Muda:saa 9:00 Alasiri- Saa 1:00 Jioni Mnenaji ni Bishop.Dr.Bernad Nwaka Kutoka Zambia Ada ni sh: 10.000/Tsh kwa siku zote Mwisho wa Shule utapewa Cheti
Karibu Tujifunze Huduma zetu na tumtumike Mungu kwa Uhuru.

Nilipozungumza na mmoja wa waandaaji Pastor Rose Mgogo ameniambia kuwa hii ni mara ya tatu inafanyika Nchini na itakuwa ni jambo la Mwendelezo,Malengo yake ni kuwafundisha watu wote hasahasa watumishi wa Mungu wale wenye huduma nikimaanisha Wachungaji.Mitume,Manabii,Maaskofu na Waalimu ikiwa ni kuona wanapata mafundisho sahihi na Kusimama katika Kuifundisha kweli ya Mungu bila kupindisha ukweli.

No comments:

Post a Comment