RFDF
KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Godfrey Nkini wakati wa Ibada iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam |
KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimpongeza Msaidizi wake aliyemaliza muda Mch. George Fupe wakati wa Ibada iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam |
KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akmkabidhi gari Msaidizi aliyemaliza muda wake Mch. George Fupe |
Baadhi ya Wachungaji waliohudhuria Ibada ya kumuingza kazini Msaidizi wa Askofu Mch. Chedile Lwiza |
waumni waliohudhuria sherehe za kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mch. Chedile Lwiza |
Mstaafu wa KKKT Dk. Elinaza Sendoro akifuatilia Ibada |
Naibu Waziri TAMISEMI Aggery Mwanri akiwasalimia waumni |
Wachungaji wakipungia waumini wakati walipokuwa wakitambulishwa. |
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba (NHC) Nehemia Mchechu ambaye pia ni muumini wa KKKT akitoa salamu |
Maaskofu Alex Malasusa mwenye fimbo na Dk Fredrick Shoo wakiwa katika picha ya pamoja na Msaidizi mpya wa Askofu wa DMP Mch Chedile Lwiza (Katikati) |
No comments:
Post a Comment