.

.

.

.

Saturday

Alex Msama Amwaga Misaada Kwa Vituo Vya Watoto Yatima Jijini Dar Es Salaam

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Honorata Michael kutoka kituo cha Honorata kilichopo Temeke jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya msaada kwa vituo vya watoto yatima jijini Dar es salaam, unaotolewa na kampuni hiyo katika wakati huu wa kuelekea sikukuu ya pasaka, vyakula hivyo vina thamani ya shilingi milioni 6

Tamasha la hilo  linatimiza miaka 15 toka lianzishwe hapa nchini. jumapili hii kwa sherehe kubwa kwenye uwanja wa Taifa kwa kushirikisa waimbaji mbalimbali wa muziki wa injili kutoka, Zambia, Kenya, Rwanda, Uingereza na wenyeji Tanzania  wakiwemo waimbaji nguli Solly Mahlangu na Rebbeca Malope wote kutoka nchini Afrika Kusini, Mgeni rasmi katika tamasha hilo anatarajiwa kuwWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa wenye uhitaji

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa wenye uhitaji


Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Charle Nyimbo kutoka kituo cha Malaika Kids cha jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment