Mgeni Rasmi katika hafla maalum ya mwaka kwa Tanzania Bloggers Network,Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT),Ndg. Kajubi Mukajanga |
Mwenyekeiti wa muda wa Tanzania Bloggers Network akizungumza jambo na mbele ya Wamiliki wa Blogs Tanzania,waliokutana pamoja leo kwa lengo la kufahamina na kuunganisha vyema umoja wao. |
Mkurugenzi wa Masoko kwa Kampuni ya Simu ya Vodacom Tanzania ambao ndio walikuwa wadhamini wakuu,Kelvin Twissa akizungumza machache katika hafla hiyo. |
Mwakilishi kutoka US Embassy akizungumza jambo na mbele ya Wamiliki wa Blogs Tanzania,waliokutana pamoja leo kwa lengo la kufahamina na kuunganisha vyema umoja wao. |
Picha ya pamoja kwa baadhi ya wanablog,wa kwanza kushoto ndio mmiliki na admin wa blog hii http://gospelhabari.blogspot.com |
Picha ya pamoja kwa bloggers waliohudhulia party hiyo pamoja na mgeni rasmi pamoja na wadhdmini wa party hiyo. |
Nikiwa na mdimu mmoja wa blogger na mwandishi wa habari katika picha |
Nikiwa na father kidevu mmoja wa blogger |
Nikiwa na blogger mkongwe na miongoni mwa viongozi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) issamichuzi.blogspot.com |
Picha za Red Carpet |
Michuzi Media walikuwepo kufanya coverage ya tukio zima |
No comments:
Post a Comment