.

.

.

.

Monday

Album ya Paul Clement sasa iko mtaani

Paul Clement siku ya jana katika Kanisa la Word Alive Sinza amezindua album yake "Atendaye ni Mungu" album hiyo iliyoandaliwa na The Christ Vibes mwaka jana,Tamasha hilo liliandaliwa na Kampuni ya Kiango Media ambayo ndio wamiliki wa Kiango redio inayosikika kwa njia ya Mtandao tu kwa sasa.

Katika tamasha hilo waimbaji wasindikizaji walikuwepo ni Bomby Johnson,Elandre na K.K.K.T Uinjilisti Kijitonyama ndio kufanya Tamasha hilo kufana.

Pastor Caros Kilimbai wa Manna Tabernacle Ministry aliyekuwa mgeni wa heshima katika kuzindua DvD hiyo ya Atendaye ni Mungu,uzinduzi huo uliudhuliwa na watu mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali za Jiji la Dar es salaam kuhudhulia tukio hilo

Katika ujumbe wake Pastor Caros Kilimbai akiwasihi waimbaji na wanamziki kuwa wanyenyeke
Mpendwa wangu haijalishi umepakwa mafuta kiasi gani na upo gifted kiasi gani, maishani mwako utahitaji hawa watu waliyo Malaika wenye gudulia la maji yatokayo juu ili kukunywesha na mkate uliyookwa kwenye makaa ya moto ili kukulisha.

Malaika hawa ni watu waliyopakwa mafuta na Mungu kama viongozi wa kiroho, wachungaji watakao kuongoza kando ya maji ya utulivu na kukulaza katika malisho ya majani mabichi.

Hata upakwe mafuta vipi, hata uwe gifted vipi usije ukafanya kosa la kudhani kuwa hutahitaji Mchungaji. Usijidanganye kudhani kuwa maishani you will make it alone bila wao tena hata siku moja usifanye kosa la kudhani hawa watu sio wa muhimu na hutawahitaji.

Hata upakwe mafuta vipi, hata uwe gifted vipi usije ukafanya kosa la kudhani kuwa hutahitaji Mchungaji. Usijidanganye kudhani kuwa maishani you will make it alone bila wao tena hata siku moja usifanye kosa la kudhani hawa watu sio wa muhimu na hutawahitaji." Alisema!

 Paul Clement












Washehereshaji Fred & Berinda
Pastor Caros Kilimbai
Pastor Caros Kilimbai akizindua DVD yenyewe kwa mara ya kwanza
Paul Clement akiwa na Mama yake Mzazi 
Pastor Caros Kilimbai amkisihi Paul katika namna ya kufanikiwa katika mziki na utumishi wake 


Baadhi ya wadau waliojitokeza mbele kuinujua album kwa mara ya kwanza

Bomby Johnson





Crew nzima ya Kiango Media waliwa busy kurusha matangazo ya moja kwa moja toka kwenye event hiyo



Mkurugenzi Mtendaji wa Kiango Media Samwel Sasali ambao ni waandaaji wa tamasha hilo
Prosper Mwakitalima mtaalamu wa maswala ya kibishara katika kampuni ya Kiango Media
Elandre 

K.K.K.T Uinjilisti Kijitonyama
K.K.K.T Uinjilisti Kijitonyama
K.K.K.T Uinjilisti Kijitonyama


Wadaau mbalimbali walikuwepo katika Event hiyo siku ya jana katika Kanisa la Word Alive
Wadaau 

Mdau MC Rawlence na Mke wake
MC Pilipili hakuwa mbali akiwa na Davi mdau wa blog




No comments:

Post a Comment