Zilikuwa ni siku sita za kwenda viwango vya juu katika Jiji
la Dar es salam Katika Kanisa la Living Water center chini ya Mtumishi wa Mungu
Apostle Onesmo Ndegi Katika Kongamano liloitwa Kongamano la Viwango vya Juu (Higher
Levels Conference)
Katika Kanisa la Living Water Center kila mwaka huwa kuna Kongamano
kuu linakuwa na watumishi wa Mungu kutoka Makanisa mbalimbali Nchini na nje ya
Nchi,kwa mwaka huu alikuwepo Bishop Kameta Dar es salaam,Bishop Oram Mustafa
kutoka Arusha Tanzania, Mchungaji Titus Mkama wa Ilala
TAG Dar e salaam, Bishop Dr Peter Muteba South Afrika,Bishop Dr.Tengu Yoka kutoka NairobiApostle Aaron Timoth
DRC, Dar es salaam Tanzania na wenyeji Apostle Onesmo na Lilian Ndegi.
Watu walipata muda wa kutosha
kujifunza Neno la Mungu kwa ufasaha na kuombewa na watumishi wote waliohudumu katika Kongamano hilo
Living
Waters Praise Team,Totoo,Kwaya kutoka Glory Land Arusha,na Kwanya kutoka
Nairobi ndio walihudumu katika Kongamano hilo,King Chavala naye alikuwepo
kufanya vitu vyake!
|
Apostle Onesmo Ndegi mwenyeji wa Kongamano hilo |
|
Bishop Oram Mustafa kutoka Arusha Gloryland International Church |
|
Mchungaji Titus Mkama wa Ilala
TAG Dar e salaam |
|
Bishop Dr Peter Muteba South Afrika |
|
Bishop Dr.Tengu Yoka kutoka Nairobi |
|
Living Waters Praise Team walipokuwa wakihudumu katika Kongamano hilo |
|
Katika Siku ya mwisho wa Kongamano hilo kulkuwa na tendo la kumfanya Bishop Dr Peter Muteba South Afrika kuwa mzee wa heshima pia kuingia katika Agano na mtumishi huyo no na uhusiano wao katika Kanisa la Living Water Center kama wanavyonekana katika picha |
|
Bishop Dr Peter Muteba South Afrika akipokea zawadi ya picha iliyochorwa kwa mkono |
|
Champagne kama ishara ya kujipongeza |
|
Totoo Mwanamziki Kutoka South Afrika |
|
Watumishi waliohudumu katika Kongamano hilo,wakwanza Kushoto ni Apostle Aaron Timoth kutoka DRC,anayefuatia mwenye suti ya kaki ni Bishop.Dr Tengu Yoka kutoka Nairobi Kenya,kisha Bishop.Dr Peter Muteba Afrika kusini, mwenye shati jeupe ni Apostle Onesmo Ndegi mwenyeji,mwisho kulia Bishop Oram Mustafa kutoka Arusha Tanzania. |
|
Wakwanza ni mama Apostle Ndegi akiwa na baadhi ya wake wa watumishi walihudumu katika Kongamno hilo |
No comments:
Post a Comment