Kutoka kwenye chanzo cha habari cha muimbaji John Lisu anapenda kukutaarifu mdau wangu sasa ana studio mpya (REAL PRODUCTION) iliyopo maeneo ya Mikocheni karibu na kiwanda cha Cocacola Kwanza.John Lisu
kupitia account yake kwenye facebook ameweza kueleza ubora wa studi yake na jinsi gani unaweza kufika kwenye studi hiyo.
Real
Production iko chini ya John Lisu ambaye ni Managing Director pamoja na
Senior Sound Engineer Fredrick Japhet a.k.a Masanja.Kwa sasa itafikia
idadi ya waimbaji wa 3 kwa Tanzania wanaomiliki Studio zao,Samuel
Yonah,Steven Wambura na John Lisu.Mawasiliano piga simu no 0713 240397
au 0768 407080,barua pepe realproduction2014@gmail.com
|
No comments:
Post a Comment