.

.

.

.

Wednesday

WAZIRI WA HABARI, MHE. NAPE NNAUYE AFUNGA MAFUNZO YA BLOGGERS TANZANIA

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wamiliki wa Bloggers Tanzania kabla ya kufunga mafunzo kwa mablooger hao yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WHUSM)
 Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa ufungaji wa wa mafunzo kwa mablooger Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Muda wa Tanzania Bloggers network Bw. Joachim Mushi akizungumza na wamiliki wa Bloggers Tanzania kabla ya kumkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye kufunga mafunzo kwa Bloggers Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam. 
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwakabidhi baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo kadi za uwanachama za mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSPF katika hafla ya ufungaji wa mafunzo kwa Bloggers Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wamiliki wa Bloggers Tanzania wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa ufungaji wa mafunzo kwa Bloggers Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwakabidhi baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo kadi za uwanachama za mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSPF katika hafla ya ufungaji wa mafunzo kwa Bloggers Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwakabidhi baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo kadi za uwanachama za mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSPF katika hafla ya ufungaji wa mafunzo kwa Bloggers Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akimkabidhi kadi ya uanachama ya Mfuko wa PSPF, mmiliki wa Tanzania Live Blog, Yusuf Badi katika hafla ya ufungaji wa mafunzo kwa Bloggers Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam. 
 Baadhi ya washiriki.
 Mkutano ukiendelea.
Washiriki wa mkutano huo.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment