.

.

.

.

Thursday

Win Big After College

Elimu ya Darasani ina mchango Mkubwa sana katika kumfanya Graduate awe na uwezo flan hivi wa kuyaona na kuyachambua mambo, Lakini Elimu hiyo Ina uhusiano Mdogo sana na Maisha Halisi ya Upatikanaji wa Pesa na kujikomboa kiuchumi... Kuna vitu ambavyo wasio na Elimu ya Darasani hasa Chuo kikuu wanavifanya na ndo vinawafanya wawe Matajiri wakubwa wa Kipato kuliko wenzangu na Mimi tuliopita Darasani na tuna degree zetu Kibindoni.... Ijumaa hii pale CBE DSM tutaambiana mambo unayotakiwa kuyafanya umalizapo Masomo yako ya Chuo..

 

No comments:

Post a Comment