.

.

.

.

Monday

Mwanamuziki Wa Injili Nchini Kenya Peace Mulu apata ajali

Mwanamuziki wa Injili Nchini Kenya Peace Mulu
Kupitia kwenye account ya Mwanamuziki wa Injili Abednego Hango ameutaarifu ulimwengu kuwa Mwimbaji maarufu toka Kenya kwa jina la Peace Mulu aliyeimba ombea adui yako..amepata ajali mbaya ya gari na kuvunjika mguu mara kadhaa. Amelazwa hospital ya Kenyatta na anaendelea na matibabu vema. Maombi yako ya imani yanahitajika. Pia tukemee roho za mauti kwa watumishi wa Mungu ktk umri mdogo maana naona kama inazidi kupata nguvu.

Blog hii inamtakia uponyaji wa haraka mwanamuziki huyu ili aweze kuwa mzima.Blog inakuombea upone na uweze kuwa mzima.

No comments:

Post a Comment