MWENDA AIASA JAMII KUSAIDIA WATOTOTO YATIMA NA WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
Meya
mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda akigawa chakula kwa watoto wanaolelewa katika kituo cha
Maunga kilichopo Kinondoni Hananasifu Jijini Dar es salaam katika kusherekea sikukuu ya Iddi.
Meya
mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda akijumuika
pamoja katika chakula cha pamoja na watoto hao wanaolelewa katika kituo cha
Maunga kilichopo Kinondoni Hananasifu Jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment