PENUEL Maana yake mahala pa Kukutana na Mungu uso kwa uso.(Udhihilisho wa Utukufu wa Mungu) Mwanzo 32:22-30,PENUEL 2015 nikusanyiko la mafundisho ya Neno la Mungu likiwa limelenga ukutane na Mungu kupitia haja ya moyo wako katika kila kona ya maisha yako,PEENUEL 2015 likijumuisha watumishi wa Mungu waliotoka katika nchi mbalimbali za Afrika kwa mwaka huu watumishi walitoka Afrika Kusini,DRC,Kenya na Tanzania.
Apostle Onesmo Ndegi na Kiongozi wa huduma ya Living Water Centre ndiye mwandaaji wa Kusanyiko hilo ambapo hapo mwanzo miaka ya nyuma lilikuwa likifanyika ila likijulikana kwa majina tofauti tofauti,lakini kwa mwaka huu 2015 kundelea mbele litajulikana kama PENUEL kisha mwaka husika wa kusanyiko hilo.
Watumishi waliohudumu katika PENUEL 2015 ni Rev. Dr. Muteba Peter kutoka Johannesburg Afrika Kusini ambaye ni Kiongozi wa Breakthrough Ministry Conference (BMC) pia Mchungaji Kiongozi wa Yahweh Shammah Assembly huko Johannesburg South Africa,Apostle Aaron Timothee Tshimanga kutoka Lubumbashi DRC,Prof. Dr. Zacharie Mayamba Kabengele from Lubumbashi DRC,Bishop Olam Mustapha kutoka Gloryland International Church Arusha Tanzania,Bishop Tengu Yoka kutoka Nairobi Kenya
na Pastor Moses Ilunga from Nairobi.
Kusanyiko hilo PENUEL 2015 limefanyika kwa muda wa wiki moja kwa mafunindisho ya Neno la Mungu kuanzia asubuhi mpaka jioni,watu walipata kujifunza na kujua ahadi za Mungu katika Maisha yao,Pia maombezi kwa wenye shida na matatizo mbalimbali yalifanyika siku ya mwisho wa Kongamano hilo.
|
Mwenyeji wa PENUEL 2015 Apostle Onesmo Ndegi na Kiongozi wa huduma ya Living Water Centre Kawe
|
|
Rev. Dr. Muteba Peter ambaye ni kiongozi wa Breakthrough Ministry
Conference (BMC) na Mchungaji Kiongozi wa Yahweh Shammah Assembly huko
Johannesburg South Africa mmoja katika wanenaji wa PENUEL 2015 |
|
Bishop Olam Mustapha
kutoka Gloryland International Church Arusha Tanzania |
|
Bishop Tengu Yoka kutoka huduma ya Resurrection Temple Nairobi Kenya |
|
Apostle Aaron
Timothee Tshimanga kutoka Lubumbashi DRC |
|
Pastor Moses Ilunga kutoka Resurrection Temple Nairobi Kenya
|
|
Prof. Dr. Zacharie
Mayamba Kabengele from Lubumbashi DRC
|
|
Apostle Onesmo Ndegi akizungumza katika Mwenyeji wa PENUEL 2015 |
|
Joshua Mlelwa alikuwepo kuhudumu katika PENUEL 2015
|
|
Watumishi wa Mungu kutoka nchi mbalimbali waliohudumu katika PENUEL 2015 wakiwa na wake zao katika picha ya pamoja |
|
Watumishi wa Mungu kutoka nchi mbalimbali waliohudumu katika PENUEL 2015 |
|
Wake wa Watumishi wa Mungu kutoka nchi mbalimbali waliohudumu katika PENUEL 2015 |
|
Living Waters wenyeji wakiongoza sifa katika PENUEL 2015 |
|
Living Waters wenyeji wakiongoza sifa katika PENUEL 2015 |
|
Waumini wakicheza na Kuimba mbele za Bwana |
|
John Mmbaga katika Drums |
|
Barikeyz Mmbaga katika Piano |
|
Watoto wakionesha ujuzi wao katika kupiga guitar |
|
Pendo Mwamlenga wa Living Waters akiongoza sifa |
|
Rodney wa Living Waters akiongoza sifa |
|
Living Waters akiongoza sifa na kuabudu |
|
wakicheza mbele za Bwana |
|
wakicheza mbele za Bwana |
|
wakicheza mbele za Bwana |
|
Watumishi wakifuatilia mahubiri kwa makini |
|
Watumishi wakifuatilia mahubiri kwa makini |
|
Watumishi wakifuatilia mahubiri kwa makini |
|
Washirika wa Prof. Dr. Zacharie
Mayamba Kabengele kutoka Lubumbashi walioambatana nae kuja katika PENUEL 2015 |
|
Washirika wa Kanisa la Yahweh Shammah Assembly huko Johannesburg South Africa walioongozana na Mchungaji wao Rev. Dr. Muteba Peter katika PENUEL 2015 |
|
Baadhi ya wageni kutoka Lubumbashi waliokuja kuhudhulia PENUEL 2015 |
|
GUG Dancers |
|
Paul Clement alikuwepo kuhudumu katika PENUEL 2015 |
|
The Doxas kutoka Word Alive walikuwepo kuhudumu katika PENUEL 2015 |
|
The Doxas kutoka Word Alive walikuwepo kuhudumu katika PENUEL 2015 |
|
The Doxas kutoka Word Alive walikuwepo kuhudumu katika PENUEL 2015 |
|
Mombezi kwa wenye matatizo mbalimbali |
No comments:
Post a Comment