.

.

.

.

Wednesday

Siku Ya Wanawake Katika Kanisa la VCCT Yafana Kwa Namna Yake

Mass Choir



Kanisa la VCCT siku ya Jana limeadhimisha siku Ya wanawake Kanisa hapo na sikukuu hiyo iliadhimishwa ka style ya namna yake.

Kila Mwaka Kanisa la VCCT hutoa siku moja kwa ajili ya Kusheherekea siku ya wanawake hapo Kanisani kwa kutoa fursa wanawake kufanya huduma zote siku hiyo hapo Kanisani.

Mwaka huu Wanawake wametumia pia siku hiyo kama siku maalum ya Kumtegemeza Mchungaji Kiongozi Huruma Nkone na familia yake. Mbali na utegemezaji huo lakini pia wanawake walifanya huduma zote kanisa hapo katika kuendesha Ibada kama sehemu ya maadhimisho ya sikukuu hiyo.

Kiongozi wa Wanawake VCCT Pastor Joyce Nkone akizungumza

Women's Of Grace wakicheza mbele za Bwana



No comments:

Post a Comment