.

.

.

.

Monday

TANZIA: Mke wa Mwimbajiwa Nyimbo za Injili nchini Jackson Benty


Kwa Tasnia Ya Muziki Wa Injili Tanzania Tumepata Pigo Kwa Kaka Yetu Jackson Benty ( Mwenye Wimbo Huo Hapo Juu) Kuondokewa Na Mke wake,Kwa Wale Tulio Arusha Unaweza Fika Msibani
Nyumbani KWA Jackson Benty kwamrombo karibu na bomba LA majina LA JESHI Kumtia Moyo,
Lakini pia Kama Upo Mbali na Umeguswa Na Msiba Huu, Tunaweza Kutuma Rambi Rambi Zetu kwa MPESA 0754295801 Kumtia Moyo Ndugu Yetu Huyu

#Jina La Bwana Libarikiwe Katika Yote

No comments:

Post a Comment