.

.

.

.

Friday

Life Transformation Course 2017 "awamu ya pili

Living Water Centre Ministry inakuletea Life Transformation Course 2017 "awamu ya pili".Njoo ukabadilishwe na kuwa kama Kristo alivyo kukusudia kupitia kozi hii.Kozi inaanza tarehe 25/07/2016 saa 12:00 Jioni Jumatatu-Jumamosi kasoro Alhamisi,kwa siku 40 tu.
Kozi hii ni kwa mtu yeyote aliyemahanisha kumtafuta Mungu bila kujali madhehebu. Darasa litakuwa Kawe kwa Joseph, Katikati ya kituo cha daladala cha Joseph na Msikiti.Gharama ya form ni 15000/=
Baadhi ya masomo yatakayofundishwa;

1)WOKOVU-nini maana ya wokovu? 2)KUUKULIA WOKOVU – kukua kiroho baada ya kuokoka,
3);THAMANI YA NENO- jinsi neno linavyoweza kukuzaa mara ya pili, 4):UREJESHO WA USHIRIKA KATI YA MWAMINI NA MUNGU(restoration) ie ni lini ushirika ulivunjika?
5);UADILIFU(integrity) – uadilifu wa Mungu,
6);HULKA ZETU – temperaments,aina za hulka na tabia zake
7)MAISHA YA MSAMAHA – ili usamehe unahitaji mambo gani?
,DHAMIRI ISIYO NA HATIA – ni kwa namna gani hii ni silaha ktk maisha ya mwamini?
9);UTAWALA WA ROHO MTAKATIFU – kwa mtu aliye okoka unakuwaje? 10);KUJENGA MADHABAHU – jinsi ya kujenga madhabahu
11) MAISHA YA MAOMBI – maana ya maombi
12);KUMJUA MUNGU NA UWEZA WA NGUVU ZAKE – Mungu ni nani,ana sura gani,anakaa wapi
13);MWAMINI NA KINYWA – matumizi ya kinywa kwa mtu aliyeokoka
14);MAISHA YA IMANI – imani ni nn?
15); NAFASI YA MTUMISHI WA MUNGU KTK MAISHA YA MWAMINI – unawezaje kumstahi mtumishi wa Mungu
16);IBADA HALISI – nn maana ya ibada 17);UBATIZO WA TOBA -ubatizo ni nn? 18); UJENZI WA MISINGI MIPYA zab 11:3



Mawasiliano zaidi: +225717067569.Karibu sana.

No comments:

Post a Comment