.

.

.

.

Monday

Tamasha la Pasaka katika kutimiza miaka 15


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi akiongea katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka ililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015. Pembeni ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama.


Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe akishirikiana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara (kulia) na Mchungaji Mwasota kukata keki. Aanayeshudia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angella Kairuki.
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe akimlisha keki Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama.


Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe akimlisha keki Mke wa Mkurugenzi wa Msama Promotion


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi akiongea katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka ililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015. Pembeni ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama.
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama akiwapungia watu waliohudhuria katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka, lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe akiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara (kulia), Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angella Kairuki na Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama na Mkewe.Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe baadhi ya watu ambao walihusika katika kufanikisha kufanikiwa kwa matamasha ya Msama Promotion wakipokea tuzo za mchango wao,katika picha ni George Mpella wa Praise Power.
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe baadhi ya watu ambao walihusika katika kufanikisha kufanikiwa kwa matamasha ya Msama Promotion wakipokea tuzo za mchango wao,katika picha ni George Mpella wa Praise Power.

Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe baadhi ya watu ambao walihusika katika kufanikisha kufanikiwa kwa matamasha ya Msama Promotion wakipokea tuzo za mchango wao,katika picha ni Jimmy Temu  blogger.
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe baadhi ya watu ambao walihusika katika kufanikisha kufanikiwa kwa matamasha ya Msama Promotion wakipokea tuzo za mchango wao,katika picha ni Boniface Magupa wa Praise Power
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe baadhi ya watu ambao walihusika katika kufanikisha kufanikiwa kwa matamasha ya Msama Promotion wakipokea tuzo za mchango wao,katika picha ni Hailaiza wa Wapo Radio

No comments:

Post a Comment