.

.

.

.

Monday

Live Gospel Shangwe ilivyofana

Siku ya jana katika Kanisa la Living Water Center chini ya Mtumishi wa Mungu Apostle Onesmo Ndegi ilikua ibada ya kusifu na kuabudu  huwa inafanyika kila baada ya miezi kadhaa ikijulikana kwa jina la Live Gospel Shangwe kwa kuandaliwa na wenyeji wa kanisa hilo The Living Waters.

Katika Ibada hiyo vikundi mbalimabli vya sifa vilivyo hudumu ni Living Waters wenyeji,Paul Clement,John Lisu,The Doxas, Misei na KLPT Kigamboni PWT na kufanyika ya baraka kwa maisha ya wengi walihudhulia ibada hiyo,na MC wa event hiyo akiwa na King Chavalah.
Living Waters

Living Water
cheza mpaka chini
drama

GUG Dancers

GUG Dancers


KLPT KigamboniKLPT Kigamboni

Mise akiwa na Mke wake
Mise Saxophonist 
saxophonist 


Bariki 
Dickson Griper 
Watoto walipata nafasi ya kufurahi mbele ya Bwana wakiwa na MC Chavala
Watoto walipata nafasi ya kufurahi mbele ya Bwana wakiwa na MC ChavalaDoxas Praise and Worship Team ya Word Alive Centre Pastor Deo Lubala
Doxas Praise and Worship Team ya Word Alive Centre Pastor Deo Lubala

 Jesca Honore akiongoza Doxas Praise and Worship Team 


La masiasephraim kahuluda
Apostle Ndegi wa kiongozi wa huduma ya Living Water Centre akizungumza kwa kifupi katika event hiyo ya Live Gospel Shangwe

Paul Clement 
Masanja Mkandamizaji alikuwepo bila kukosa akiwa na MC wa Event Chavalah 
Masanja Mkandamizaji akiteta jambo na Apostle Ndegi
MC wa Event Chavalah 
John LisuKinogo Emmanuel mmoja wa waimbaji wa Living Waters akiongea kwa ufupi kuhusu Living Waters ilitoka wapi na inakwenda wapi

Apostle Ndegi Masanja Mkandamizaji na Chavala katika picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment