.

.

.

.

Tuesday

Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Msaidizi wake Mch. Chediel Lwizaya Wachungaji waliohudhuria Ibada ya kumuingza kazini Msaidizi wa Askofu Mch. Chedile Lwiza

RFDF

Mkuu wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Msaidizi wake Mch. Chediel Lwiza wakati wa Ibada iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wachungaji pamoja na waumini mbalimbali wa KKKT.
KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Godfrey Nkini wakati wa Ibada iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam
KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimpongeza Msaidizi wake aliyemaliza muda Mch. George Fupe wakati wa Ibada iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam

KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akmkabidhi gari Msaidizi aliyemaliza muda wake Mch. George Fupe
Baadhi ya Wachungaji waliohudhuria Ibada ya kumuingza kazini Msaidizi wa Askofu Mch. Chedile Lwiza
waumni waliohudhuria sherehe za kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mch. Chedile Lwiza
Mstaafu wa KKKT Dk. Elinaza Sendoro akifuatilia Ibada
Naibu Waziri TAMISEMI Aggery Mwanri akiwasalimia waumni
Wachungaji wakipungia waumini wakati walipokuwa wakitambulishwa.
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba (NHC) Nehemia Mchechu ambaye pia ni muumini wa KKKT akitoa salamu

Maaskofu Alex Malasusa mwenye fimbo na Dk Fredrick Shoo wakiwa katika picha ya pamoja na Msaidizi mpya wa Askofu wa DMP Mch Chedile Lwiza (Katikati)

No comments:

Post a Comment