.

.

.

.

Saturday

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Kamati ya Amani Jijini Dar unaowahusisha Viongozi wa Dini.


Rais Kikwete akiongea mbele ya viongozi wa Dini katika Ukumbi wa Mwl Nyerere International Centre

Viongozi mbalimbali wa dini katika Ukumbi wa Mwl Nyerere International Centre wakimsikiliza Rais Kikwete kwa makini.

No comments:

Post a Comment