Mrisho Mpoto mwanamziki wa nyimbo za asili siku ya jumapili alikuwa ameongozana na Mh.Mkuu wa mkoa Paul Makonda katika Ibada katika Kanisa la Living Water Center Kawe alipoitwa kusalimia kanisa na kuzungumza,Alieleza kuhusu tuzo za KORA
Akisalimia Kanisa alieleza waumini jinsi alivyochaguliwa kuwania tuzo za KORA kipengera cha BEST TRADITIONAL MALE ARTIST OF AFRICA,Baada ya kujieleza Mtumishi wa Mungu Apostle Onesmo Ndegi alitamka Neno la Baraka na Ushindi kwa Msanii huyo Mpoto.
Unaweza kushiriki kumpigia kura ili kushinda tuzo hizo kwa kuliwakilisha taifa,Kupiga kura Andika KORA 67 tuma kwenda +248984000
No comments:
Post a Comment