Siku ya jumapili ilipokuwa ni siku ya mwanamke duniani kwa kusherekewa sehemu mbalimbali serikalini,Makanisani na katika makusanyiko mbalimbali ya wanawake wakijipongeza kwa siku yao na kujitathimini maisha yao katika yale wanayofanya katika shughuli zao za kila siku,
Kanisa la Living Water Centre Kawe chini ya Mtumishi wa Mungu Apostle Onesmo Ndegi lilianza kujiandaa kuipokea siku hiyo kwa kuwa na Kongamani la Wanawake lilioanza siku ya Ijumaa na kuhitimishwa siku ya jumapili,Mke wa Apostle Ndegi ndiye mbeba maono wa Kongamano hilo lililo lafanyika baraka kwa wanawake,wamama,mabinti na hata wanaume waliopata kuhudhulia kwa uchache kutoka kona na makanisa mbalimbali ya Jijini Dar es saalam.
Mwenyenyeji wa Kongamano hilo alikuwa ni Lilian Ndegi pia mnenaji katika Kongamano hilo,Mchungaj Naomi Mhamba wa Living Water Centre Kawe,Heren Uronu,Mchungaji Debora Kaisi kutoka viwanja vya sifa, Mchungaji Mary Magoro wa Living Water Centre gongo la mboto na Happy Zinga Mchungaji wa Living Water Iringa waimbaji waliongoza sifa ni Living Waters wenyeji,Upendo Nkone,Atosha Kisava,Waridi,GUG dancers na wengine!
Kongamano hilo lilifanyika baraka kwa wengi ikiwepo kukumbushwa wajibu wao katika nyumba ya Bwana,kusimama katika zamu zao na kujiona wanaweza bila kuona hawawezi kufanya vitu,nafasi yao katika malezi ya watoto ni miongoni mwa mafundisho yaliyofanyika baraka kwao
|
Lilian Ndegi mbeba maono wa kongamano la Moyo wa Mwanamke aliyekuwa mnenaji na mwenyeji wa kongamano hilo |
|
Mchungaj Naomi Mhamba wa Living Water Centre Kawe mnenaji wa Kongamano la Moyo wa Mwanamke |
|
Heren Uronu mnenaji wa Kongamano la Moyo wa Mwanamke |
|
Mchungaji Debora Kaisi kutoka viwanja vya sifa alikuwa mnenaji wa Kongamano la Moyo wa Mwanamke
|
Mchungaji Mary Magoro wa Living Water Centre gongo la mboto mnenaji wa Kongamano la Moyo Mwanamke
|
Louise Johnas kiongozi wa sifa wa Living Waters Kawe |
|
Living Waters Kawe katika Kuongoza sifa katika Semina hiyo |
|
Rodney |
|
Wanamuziki wa Living Waters Keyboard Bariki na Elisha, lead guitar Steve,Leonard bass guitar
|
Kelvin Weber |
|
|
Upendo Nkone |
|
Atosha Kisava mwimbaji wa nyimbo za Injili
|
Waridi |
|
|
Mama Mchungaji Mchungaji Mary Amri kutoka huduma ya Akuzamu alikuwepo kuhudhuria semina hiyo |
|
maombezi kwa wenye magonjwa na uhitaji mbalimbali waliombewa |
|
maombezi kwa wenye magonjwa na uhitaji mbalimbali waliombewa |
|
Baadhi ya wanakamati wa kongamano la Moyo wa Mwanamake walipokuwa wakiombewa na kuwekewa mikono kwa kujitoa kwao kwa kazi ya Bwana |
|
Baadhi ya wanakamati wa kongamano la Moyo wa Mwanamake walipokuwa wakiombewa na kuwekewa mikono kwa kujitoa kwao kwa kazi ya Bwana |
|
Baadhi ya waimbaji wa Living Waters wakiwa na Mama Apostle Ndegi baada ya Kongamano |
|
Baadhi ya wachungaji na watumishi waliohudumu katika Kongamano la Moyo wa Mwanamke |
No comments:
Post a Comment