Semina ya Kinabii nchini Tanzania iliyoandaliwa na Interdenominational Prophetic School ya jijini Dar es salaam iliyokuwa ikifanyika katika Kanisa la City Christian Center Upanga Jijini Dar es salaam kwa siku 5 imemalizika leo Jumapili,wanenaji wakiwa ni
Bishop.Dr.Bernad Nwaka Kutoka Zambia,Bishop Emma Isong kutoka Nigeria na Apostle Greg House kutoka Marekani.
Mwaka jana ilipofanyika ikiwa kama Prophetic School nilipozungumza na mmoja wa waandaaji ameniambia kuwa hii ni mara ya nne inafanyika Nchini na itakuwa ni jambo la Mwendelezo,Malengo yake ni kuwafundisha watumishi wa Mungu wale wenye huduma ikimaanisha wachungaji.Mitume,Manabii,Maaskofu ,Waalimu na watu wengine ikiwa ni kuona wanapata mafundisho sahihi na Kusimama katika Kuifundisha kweli ya Mungu bila kupindisha ukweli na kuwa na mafanikio Katika Maisha yao ya kawaida na Huduma kwa ujumla.
Apostle Greg House kutoka Marekani akimwombwa kijana mmoja |
Bishop Nwaka akimwombea Apostle Prosper Ntepa na Mke wake Kiongozi wa Kanisa la Oasis Healing Mininstry |
Apostle Prosper Ntepa Kiongozi wa Kanisa la Oasis Healing Mininstry na Mke wake |
Bishop Emma Isong kutoka Nigeria akipewa shuhuda |
Apostle Greg House kutoka Marekani |
Apostle Greg House kutoka Marekani akihubiri na Pastor Caros Kilimbai wa Mana Tabernacle Ministry |
Bishop Nwaka kutoka Zambia |
Maombezi |
The Nextlevel wa City Christian Centre wakihudumu katika semina hiyo |
No comments:
Post a Comment