Bishop.Dr.Bernad Nwaka Kutoka Zambia |
Karibu Tujifunze Huduma zetu na tumtumike Mungu kwa Uhuru.
Nilipozungumza na mmoja wa waandaaji Pastor Rose Mgogo ameniambia kuwa hii ni mara ya tatu inafanyika Nchini na itakuwa ni jambo la Mwendelezo,Malengo yake ni kuwafundisha watu wote hasahasa watumishi wa Mungu wale wenye huduma nikimaanisha Wachungaji.Mitume,Manabii,Maaskofu na Waalimu ikiwa ni kuona wanapata mafundisho sahihi na Kusimama katika Kuifundisha kweli ya Mungu bila kupindisha ukweli.
No comments:
Post a Comment