.

.

.

.

Thursday

Proffesional Gathering: Power of Writing



Lengo la Somo: UANDISHI kama NJIA ya UWEKEZAJI na KUONGEZA KIPATO CHAKO

"Wengi tunafikiri kuandika ni kwaaji ya waandishi tu. Lakini ukweli ni kwamba kuandika ni kwa kila mtu. Usipoandika kitabu basi labda unahitaji kuandika mawazo yako, malengo na mipango yako, kwa matumizi yako binafsi au kwaajili ya kushirikisha watu mahususi au labda kuweka kumbukumbu/historia ya mambo ya maisha yako.

Ukitaka kumnyima mtu fursa mwambie "nenda kaniandikie hayo mawazo yako halafu uje". Amini amini nakuambia ataondoka huyo mtu mbele yako na wala usimuone tena. Japo anaweza kuwa alikuwa na mawazo mazuri na makubwa sana. Na kweli kabisa katika nchi zetu wengi tumepoteza fursa kubwa, fedha nyingi, kazi au hata scholarships kwa sababu tu hatukuweza kujieleza kwa maandishi kabisa ama tulijieleza vibaya.

Tatizo nini kwenye kuandika?


Kuna ugumu gani kwenye kuandika?!

Dr. Frank Philip (Phd) atakuwa akitema madini kukuonesha NGUVU ILIYOKO KATIKA KUANDIKA."

No comments:

Post a Comment