.

.

.

.

Tuesday

UMEWEKEZAJE?

 
 
 
What you spend your time in you are investing on it. Chochote unachokipa muda hatakama uwe muda mdogo inamaanisha unawekeza kwenye kitu hicho. Unapotumia muda mrefu kuongea na mpenzi wako maana yake unawekeza kwake, unapotumia muda zaidi kusoma maana yake unawekeza kwenye elimu, unapotumia dakika kadhaa kusoma maandiko matakatifu au kwenda ibadani maana yake unawekeza kwenye umilele. Sasa hembu jiulize ni kwa kiasi gani umeshindwa kuwekeza kwenye mambo muhimu ikiwemo watoto wako, mwenza wako na familia yako. Usisahau kwamba kwa kuwekeza au kutokuwekeza tunavuna matunda yake hapa hapa duniani na wala sio mbali, na kwa bahati mbaya wakati wa mavuno mabaya unapofika inakuwa too late kufanya marekebisho. Better do something now 

 Chris Mauki

No comments:

Post a Comment