.

.

.

.

Tuesday

WATANZANIA WAASWA KUZINGATIA AFYA BORA YA MOYO

Dkt. Manoj Kumar Agarwala, Mshauri Mwandamizi na Mtaalamu wa Magonjwa ya Moyo na Mishipa ya Moyo katika Hospitali ya Apollo Hyderabad.


Na Mwandishi Wetu,
Dar Es Salaam, Oktoba 2015:IkiwazimepitasikutatutokakuhadhimishwasikuyaMoyodunianimwakahuu, Watanzaniawameshauriwakufanyamaamuzibinafsikatikakujaliafyayamoyo. KaulimbiuyaSikuyaMoyodunianimwaka2015 inahusukuchaguaafyabora yamoyokwakilamtunakilamahali. Piainalengakuonyeshamatokeoambayomazingirayetuyanawezakuletajuuyauwezowetuwakufanyamaamuzi bora kwaajiliafyabora kwamoyowabinaadamu. Piasikuhiyoinatumikakuelimishajinsiambavyomazingiratunayoishiyanawezakuathirinakuongezahatariyamagonjwayanayohusiananamoyo.
Kwamujibuwatakwimuyahivikaribuniya WHO iliyochapishwa Mei 2014, vifovyaugonjwawamoyonchini Tanzania vimefikia 11,031. Hiinisawanawastaniwavifo54 kwakilawatu 100,000,nahivyokuiweka Tanzanianchiya 148 duniani. Idadihiiyavifoinayosababishwanamatatizoyamoyoinahitajimabadilikoharakasanaikibidikusitishwakabisa.
Ikiwachanzokikubwa chavifovingiduniani, magonjwayamoyoyakiwanipamojanaugonjwawamshtukowamoyo, ugonjwawamishipayamfumowafahamu (kiharusi), shinikizo la damu, ugonjwawamishipayaateri, ugonjwawamoyokupooza, ugonjwawamoyowakurithinamoyokushindwakufanyakaziyanaigharimunchikiuchuminakijamiikwakiasikikubwa. Watanzaniawengiwanakufakwamagonjwayanayohusiananamoyokilamwaka, haliambayoinahitajihatuamadhubutinamsaadawakimkakatiwawadauwamaendeleoilikubadilihili. Mambo hatarishiyakitabianayakisaikolojiayanadaiwakuchangia75% yamagonjwayamoyo. Kwakweli, magonjwamengiyanayohusiananamoyoyanawezakuzuiwakwakushughulikia mambo hatarishi.
Dkt. Manoj Kumar Agarwala, MshauriMwandamizinaMtaalamuwaMagonjwayaMoyonaMishipayaMoyokatikaHospitaliyaApollo Hyderabad,anatajabaadhiyamambo hatarishiyanayowezakusababishaugonjwawamoyo. Mambo hayonipamojanaumri, jinsia, historiayafamilia, sigara, lisheduni, shinikizo la damu, kiwangokikubwa cha mafutakwenyedamu, kisukari, unenewakupindukia, kutofanyamazoezi, dhikinahaliduniyausafi. Dkt.Agarwalaanapendekezakuachakuvutasigara, kupunguzamafuta, kudhibitishinikizo la damu, kuwamchangamfu, kulamlokamili, kuzingatiauzitounaotakiwakamanjia bora yakupunguzahatarizamagonjwayamoyonamishipa. Anaongezakuwamazingiraambayotunaishi, kufanyakazinakushirikimichezoyanawezakuwanamatokeomakubwajuuyauwezowetuwakufanyamaamuzisahihikwaafyayamioyoyetu. 
Maishayashughulinyingipamojanauhabawamlokamili, matumiziyatumbaku, ukosefuwamazoezivinaongezakiwango cha vifovinavyotokananamoyonchiniTanzania. Mabadilikokatikamaishayanahitajimchanganyikowahatuabinafsinahatuazakijamiinakiuchumivilevile.
Tunaaminikwambakilamtu, kilamahalianahakiyakuchaguakuimarishaafya borayamoyo. Kujengamazingirayaafyayamoyoyatatuwezeshasotekufanyamaamuzisahihiyanayowezakupunguzahatariyaugonjwawamoyonakiharusi. AnathibitishaMtaalamuhuyowamoyokutokaHospitaliyaApollo.
Kama mojayasababumuhimuzaafyayamoyo, Dkt. Girish B NavasundiMshauriMwandamizi, MtaalamumagonjwayaMoyokatikaHospitaliyaApollo, Bangalore,anawaelimishaWatanzaniajuuyaumuhimuwamajiyakunywailikuepukamagonjwayamoyo, utamaduniambaoWatanzaniawengihawana. "Moyohauwezikupigabilamaji, asilimia 70 yamwiliwabinadamunimaji. Kwahiyo, kufikiahomiostasisiyamajinaelektrolitinimuhimukwaajiliyautendajimzuriwamwili,hasamfumowamishipayadamu. Anasema.
"MwiliBinadamuunahitajikaribu 35 ml zamajikwa kilo yauzitowamwilikwasikuhiyonikaribu 2,100 ml kwa kilo 60 mtu. Matumiziyaglasitano au zaidizamajikwasikukwakiasikikubwahupunguzamatukioyajangala mashambuliziyamoyo, ikilinganishwanakushindwakunywachiniyaglasimbilizamajikwasiku. "AnaongezaDkt.Navasundi.
Dkt.Navasundianahitimishakwakusemafaidazamatumiziyakutoshayamajihufanyadamukuwanyepesi, kufanyamzunguko wake kwendavizurikatikamfumowamoyo, itapunguakazikubwayamoyonahupunguzahatariyadamukugandapapokwapapondaniyamishipayadamu.
Sikuyamoyoinalengakuboreshaafyadunianinakuhimizawatukufanyamabadilikoyamtindowamaishanakukuzaelimukimataifakuhusunjiazakuwekamoyowakonaafyanjema. SikuyaMoyoDuniamwakahuu, imelengakatikakujengachaguosahihi la afyayamoyokwakilamtu, kilamahalikwakuhakikishakuwawatuwanauwezowakufanyamaamuzijuuyaafyayamoyopopote pale wanapoishi, kufanyakazinakushirikimichezo. Sikuhiiinatuhimizasoteilikupunguzahatarizamoyonamishipa, nakukuzasayariyenyeafyayamoyokwa wale waliokaribunasi.

No comments:

Post a Comment