.

.

.

.

Thursday

Tamasha la Msama Promotions katika Kuombea uchaguzi Mkuu 2015


Mama Salma Kikwete akiingia uwanjani pamoja na msafara wake.
Tamasha la kuombea amani Tanzania limetimia. Jumapili ya tarehe 4 Oktoba 2015, zikiwa zimesalia siku 20 kuingia chumba cha kufanya maamuzi juu ya kiongozi ajaye ndio siku ambapo tamasha hili limefanyika.

Maelfu ya wakazi wa Dar es Salaam na vitongoji vyake walijitokeza kwenye tamasha hilo ambapo mgeni rasmi Rais Jakaya Kikwete aliwakilishwa na mkewe, Mama Salma Kikwete. Upekee wa tamasha hilo umetokana na uwepo wa idadi kubwa ya waimbaji, ambapo kutoka Tanzania, Kenya, Nigeria, na hata Afrika Kusini zimewakilishwa, bila kusahau Zambia.

Gospel Kitaa ambayo imekuwepo mwanzo mwisho inakuletea picha za tukio hili lenye kutia hamasa ya umoja wetu na kulinda amani iliyopo, kama ambavyo limehudumiwa na waimbaji kutoka pande mbalimbali za dunia.

MGENI RASMI
Apostle Onesmo Ndegi wa Living Water Center Kawe akisoma Risala kwa niaba ya Wachungaji,Maaskofu na watumishi wengine wa Mungu mbele ya mgeni rasmi


Kinondoni Revival

Wakorintho Wa Pili Kutoka Iringa
St. Andrew Anglikana Msalato Dodoma.AIC Chang'ombe Choir CVC
Beatrice na Martha Mwaipaja
Christopher MwahangilaJoshua Mlelwa
Upendo Kilahiro
Upendo Nkone
Bony Mwaitege

WAIMBAJI WAKIIMBA WIMBO WA AMANI KWA PAMOJA
Sipho Makhabane (Big Fish)
Solly Mahlangu

Ifenye Kelech
Sarah K
Ephraim Sekeleti (Son of Tanzania)
John Lisu
Kwaya ya Uinjilisti - Kijitonyama KKKT
Rose Muhando

Ilipotimu mida ya saa nne usiku, Mwanamama Rose Muhando aliyeadimika masikioni na machoni mwa watu kwa mudamrefu sasa hatimaye akapanda kuhitimisha.Kwa hisani ya gospelkitaa

No comments:

Post a Comment