.

.

.

.

Monday

Calvary Band wapata MsibaMarehemu anafahamika kwa jina la Koska Safalani  yeye alikua ni mdogo wake na mwimbaji  
Levi huyu ni mmoja wa waimbaji wa kundi hilo linalosifika kwa miondoko ya bolingo au sebene zenye kumtukuza Mungu, kundi hilo asili yao ikiwa ni Congo.

Marehemu Koska Safalani amefariki jana mchana muda wa saa 7:00  mchana,marehemu alikuwa akiumwa  kwa muda sasa.

 Msiba upo Sinza Mori mpaka kesho saa 6:00 mchana kuelekea Kanisani kwao pale Binondoni B mtaa wa Mahakama na kuaaga mwili kisha mazishi yatakuwa makaburi ya Kinondoni.

Kwa mawasiliano:0716815959

No comments:

Post a Comment