.

.

.

.

Monday

Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 75 ya Tanzania Assemblies of God (TAG) Matukio Katika Picha.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi kwenye kilele cha sherehe za miaka 78 ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God, kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine,jijini Mbeya jana.picha ikulu


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhiwa tuzo na Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God (TAG) Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya jana Julai 13, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha Tanzania Assemblies of God (TAG) akiwa na Askofu Mkuu wa TAG Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya jana Julai 13, 2014
Source:mbeyayetu.blog/Ikulu

No comments:

Post a Comment