.

.

.

.

Wednesday

Mwimbaji John Lisu afungua Studio ya Kisasa

    

Kutoka kwenye chanzo cha habari cha muimbaji John Lisu anapenda kukutaarifu mdau wangu sasa ana studio mpya (REAL PRODUCTION) iliyopo maeneo ya Mikocheni karibu na kiwanda cha Cocacola Kwanza.John Lisu 

kupitia account yake kwenye facebook ameweza kueleza ubora wa studi yake na jinsi gani unaweza kufika kwenye studi hiyo.

 
Real Production iko chini ya John Lisu ambaye ni Managing Director pamoja na Senior Sound Engineer Fredrick Japhet a.k.a Masanja.Kwa sasa itafikia idadi ya waimbaji wa 3 kwa Tanzania wanaomiliki Studio zao,Samuel Yonah,Steven Wambura na John Lisu.Mawasiliano piga simu no 0713 240397 au 0768 407080,barua pepe realproduction2014@gmail.comSource:JimmyTemmu

No comments:

Post a Comment