.

.

.

.

Monday

Miaka 25 ya Ndoa ya Askofu Sylvester Gamanywa



 Askofu Sylvester Gamanywa na Mama Alhappines Gamanywa ambao Jumapili iliyopita wametimiza miaka 25 ya ndoa yao katika sherehe fupi iliyofanyika katika kituo cha ushauri wa kibiblia na maombezi cha BCIC Mbezi beach jijini Dar es salaam wakiwa na baraka ya watoto wanne. Blog hii inawapongeza sana na kuwatakia miaka mingine 25 yenye furaha, amani na mafanikio, uwepo wao ni muhimu sana kwa vijana, kanisa na Taifa kwa ujumla. Mungu awabariki sana.

Askofu Gamanywa akisema jambo juu ya Mke wake siku hiyo
Kata keki tule.....
Mama akimlisha keki Askofu Sylvester Gamanywa
Ikafuata zamu ya wafanyakazi wa WAPO Internatinal.

Katibu mkuu wa WAPO na meneja wa radio The bossssss Barikiel Gadiel na mkewe wakiwa tayari kupata share yao.

No comments:

Post a Comment